Radio
16:30 - 16:59
Kiwango cha msongo wa mawazo kinaongezeka duniani kwa vijana walio katika umri wa kubalehe hadi miaka 29, inasema CompareCamp
Matangazo ya VOA EXPRESS yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo ikijumuisha masuala ya vijana
21:00 - 21:29
Viongozi wa BRICS wakubaliana juu ya utaratibu na misingi ya kukaribisha mataifa zaidi. Huku Kenya kupeleka wauguzi elfu 20 Uingereza.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.