Radio
16:30 - 16:59
19:30 - 19:59
Deni la umma Kenya limeongezeka kwa shilingi Trilioni 1.56 juu ya viwango vya juu vilivyowekwa vya deni katika mwaka wa kwanza wa Rais Ruto
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.