Radio
19:30 - 20:00
Umoja wa Mataifa watangaza kufungwa rasmi kwa ofisi zake za haki za binadamu nchini Uganda
Msemaji wa kamishna mkuu, Ravina Sham-dasani, aliiambia VOA kwamba serikali iliifahamisha Turk mwezi Februari kwamba haitasaini upya mkataba wa nchi mwenyeji, ambao unaruhusu ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa kufanya kazi nchini humo.