Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Jeshi la Polisi nchini Tanzania, limethibitisha kuwakamata, na kuwashikilia watu kadhaa kwa mahojiano kutokana na maneno wanayodaiwa kuyatoa, ambayo yanaelezwa kuwa ya uchochezi.