Radio
16:30 - 16:59
Ni muhimu kutambua mabadiliko ya mazingira yanavyohusiana moja kwa moja na ajira zinazohusu mazingira katika siku ya vijana kimataifa
Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
19:30 - 20:29
Miaka 25 tangu mashambulizi ya kigaidi kwenye ubalozi wa Marekani nchini Tanzania na Kenya, hali ya usalama ikoje?
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.