Radio
16:30 - 16:59
Viongozi vijana kutoka nchi 8 wanakutana Marekani kusaidiwa namna ya kukuza demokrasia na utawala bora nchini mwao
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
19:30 - 20:29
LIVETALK: Taharuki yatanda kufuatia mapinduzi nchini Niger huku Putin akiahidi usafirishaji wa "bure" wa nafaka kwa nchi za Afrika
Wanajeshi waasi waliomuondoa madarakani rais wa Niger walimtangaza Jenerali Abdourahmane Tchiani, kiongozi wa mapinduzi Ijumaa, saa chache baada ya jenerali huyo kutetea unyakuzi huo wa mamlaka na kuomba kuungwa mkono na taifa na washirika wa kimataifa.
21:00 - 21:29
Wanajeshi waasi waliomng'oa madarakani Rais wa Niger Mohamed Bazoum walimtangaza Jenerali Abdourahmane Tchiani kama kiongozi wa nchi
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.