Michuano ya mpira wa kikapu ya vijana ya Global Jam yaanza nchini Canada ikijumuisha wachezaji chini ya umri wa miaka 23 kutoka timu za BAL , kwa wanawake na wanume na vyuo vikuu vya Canada na Marekani
Waandamanaji waliokuwa wakirusha mawe wamepambana na polisi katika miji kadhaa ya Kenya Jumatano wakati wa duru ya pili ya maandamano chini ya wiki moja.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.