Radio
19:30 - 19:59
Waziri mkuu wa Cambodia ageukia TikTok na Telegram baada ya kufungiwa ukurasa wa Facebook
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.