Radio
19:30 - 19:59
Mahakamu kuu ya Kenya yasema kuwa uteuzi wa manaibu waziri 50 ulifanyika kinyume cha katiba.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.