Radio
19:30 - 20:00
Chama kikuu cha upinzani cha Zimbabwe chawasilisha malalamishi yake mahakamani dhidi ya serikali kabla ya uchaguzi wa Agosti
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.