Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Mmiliki wa mtandao wa Twitter Elon Musk atangaza mabadiliko ya nebo yake kutoka ndege hadi herufi X
Vita vya Sudan vyafikia siku mia moja bila dalili za kumalizika
Mkutano wa kimataifa wa kutathmini mafanikio na changamoto za mikakati ya mifumo ya chakula wafunguliwa Italia