Radio
06:00 - 06:29
Mamluki wa Wagner waendelea na shughuli zao barani Afrika huku maswali zaidi yakiibuka
Huku rais wa Russia Vladmir Putin akikiri hadharani kwamba serikali yake imekuwa ikifadhili kundi la Wagner, mumluki wanaoongozwa na Yevgeny Prigozhinwanaendela na shughuli zao katika baadhi ya nchi za Afrika huku maswali yakiendelea kuibuka.
21:00 - 21:29
Matatizo yanayomzunguka Trump baada ya kuvuja kwa sauti yake iliyorekodiwa akionekana kukiri kwamba alibeba nyaraka za siri za serikali
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.