Radio
19:30 - 19:59
Kambi ya wakimbizi ya Palorinya nchini Uganda yaripoti idadi kubwa ya wakimbizi wanaojiua
Makazi ya wakimbizi ya Palorinya nchini Uganda yanaripoti idadi kubwa ya watu wanaojiua na majaribio ya kujiua ya watu wanaoishi huko. Mashirika na watu binafsi wanaofanya kazi na wakimbizi hao wanasema kunyimwa chakula na kushindwa kukidhi mahitaji ya kimsingi ndio sababu kuu
21:00 - 21:29
Tunaangazia matatizo ya wakimbizi Afrika mashariki. Pia, tunajadili mpango wa kuondoa kikosi cha jeshi la Afrika nchini Somalia
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.