Radio
16:30 - 16:59
Serikali ya Rwanda yaanzisha kampeni ya wiki tatu kupambana na matumizi ya dawa za kulevya kwa vijana
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
19:30 - 20:29
Mjadala wa Live Talk kuhusu makadirio ya bajeti za mataifa ya Afrika mashariki kabla ya bajeti rasmi kusomwa bungeni.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.