Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Uhusiano wa Marekani na China waingia hatua mpya baada ya waziri wa mambo ya nje Blinken kuwa kiongozi wa kwanza katika wadhifa huo kukutana na kiongozi wa China tangu mwaka 2018