Radio
21:00 - 21:29
Ripoti kuhusu hali ya wakimbizi wa Burundi waliopo Kenya, Tanzania, Uganda na Rwanda. Zipi baadhi ya changamoto wanazopitia?
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.