Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Wakimbizi walemavu wanakumbana na changamoto nyingi na UNHCR yataka nchi zichangie zaidi
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.