Rais wa Russia Jumatatu alikemea wale walioshiriki katika jaribio la uasi mwishoni mwa wiki na kuwaita wasaliti, lakini bila kulitaja jina la kiongoizi wa kundi la mamluki la Wagner, Yevgeny Prigozhin.
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.