Radio
19:30 - 19:59
Watu 30 wapigwa risasi Jumamosi usiku kwenye sherehe za mtaani mjini Baltimore, Maryland
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.