Radio
19:30 - 19:59
Shirika la kimataifa la fedha ,IMF lasema kwamba uchumi wa dunia unajikwamua kutokana na athari za janga la corona.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:29
Baadhi ya marais wa Afrika hawatahudhuria mkutano wa Russia, Moscow inadai kwamba mkutano unavurugwa na nchi za magharibi
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.