Radio
19:30 - 19:59
Wachambuzi wazungumzia hali ya Israel baada ya bunge kuidhinisha sheria ya kuleta marekebisho kwenye mfumo wa mahakama.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:29
Mkutano wa Mafunzo wa Jumuiya ya Askari wa Kike Duniani Ukanda wa Afrika wafanyika Tanzania
Mkutano wa Mafunzo wa Jumuiya ya Askari wa Kike Duniani Ukanda wa Afrika (IAWP-International Association of Women Police African Chapter) unafanyika Tanzania ukiwa na lengo la kutoa mafunzo kuhusiana na masuala ya usimamizi na utekelezaji wa sheria.