Radio
16:30 - 16:59
Amnesty International yatoa wito wa hatua zaidi kupambana na rushwa
Wakati dunia ikiadhimisha siku ya kupambana na rushwa, shirika la kimataifa la kutetea haki, Amnesty Internationa, linasema bado kuna kazi yakufanywa na viongozi wa Afrika katika harakati za kupambana narushwa ambayo inaathiri sana nafasi ya vijana kupata ajira.
19:30 - 19:59
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametaka wanasiasa Afrika kujithathmini sana kuhusiana na vita dhidi ya rushwa
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.