Radio
21:00 - 21:29
Rais wa Iran, atembelea Uganda na kukemea mataifa ya magharibi kwa kulazimisha mataifa ya Afrika kufuata desturi zao
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.