Radio
16:30 - 16:59
Katika maadhimisho ya siku ya bahari vijana wazungumza hatua wanazochukua kulinda bahari
Bahari inachukua zaidi ya asilimia 70 ya sayari. Ni chanzo cha uhai kinachosaidia riziki ya binadamu na ya viumbe vingine vyote duniani. Katika maadhimisho ya siku ya bahari vijana wazungumza hatua wanazochukua kulinda bahari.
19:30 - 19:59