Radio
19:30 - 20:29
Mataifa ya Afrika Mashariki yawasilisha bajeti zake kwa mwaka wa fedha 2023 - 2024.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.