Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema viongozi wa Afrika watajadili na Rais Vladmir Putin wa Russia juu ya hatma ya mpango wa kusafirisha nafaka kupitia bahari ya Black Sea.