Radio
06:00 - 06:29
Usalama waimarishwa mjini Miami huku rais wa zamani wa Marekani Donald Trump akitarajiwa kujiwasilisha mahakamani
Trump aliwasili mjini Miami, jimbo la Florida, Jumatatu, tayari kusomewa mashtaka yanayomkabili, ya kuhifadhi nyaraka za siri, kinyume cha sheria, katika changamoto ya kisheria inayoelezwa na wachambuzi, kama kubwa zaidi , kuwahi kumkumba mwanasiasa huyo. Trump atasomewa mashtaka Jumanne alasiri.
16:30 - 16:59
19:30 - 19:59
Mswada wa fedha umefanyiwa marekebisho kenya lakini wanasiasa wa upinzani wanasema wataendelea kupinga mapendekezo ya serikali.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:29