Ulimwengu umeadhimisha siku ya kimataifa ya uelewa kuhusu Ualbino. Na huko Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo maalbino wa Jimbo la Kivu kusini wanashuhudia hofu kufuatia vitendo vya uhalifu vinavyowaathiri kila mara katika jamii.