Radio
19:30 - 20:00
Ujumbe wa baraza la usalama la Umoja wa Mataifa wakamilisha ziara yake DRC
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.