Radio
16:30 - 16:59
Kampuni ya Huawei yazindua simu mpya ukiwa ni mfululizo wa simu zake muundo wa P60
Kampuni ya Huawei, imezindua simu mpya ukiwa ni mfululizo wa simu zake muundo wa P60. Huawei inasema simu hizo, zina kamera zinazotumia teknolojia iliyoimarishwa zaidi, na zinaweza kushindana vilivyo, na zile za makampuni ya Apple na Samsung.
19:30 - 19:59
Serikali ya Zimbabwe kuhoji wananchi wake iwapo hukumu ya kifo iondolewe dhidi ya watu wanaopatikana na hatia ya mauaji
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.