Radio
Vijana waelezwa kufanya maamuzi ya nani kuwa rais ajaye wa Nigeria
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
Serikali ya Rais Ruto inapanga kuzishawishi nchi za Magharibi kuweka vikwazo vya usafiri dhidi ya kiongozi wa upinzani Kenya Raila Odinga
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
UCHAGUZI NIGERIA: Tinubu aendelea kuongoza katika majimbo kadhaa
Shughuli za kuhesabu kura ziliendelea Jumatatu nchini Nigeria kufuatia uchaguzi mkuu wa Jumamosi ambapo mgombea urais kwa tikiti ya chama kinachotawala aliendelea kuongoza kwa wingi wa kura kutoka majimbo kadhaa huku nayo tume ya uchaguzi ikishutumiwa kwa changamoto zilizogubika mchakato huo.