Radio
19:30 - 19:59
Siku ya kimataifa ya Radio yaadhimishwa kwa njia tofauti kote ulimwenguni, kauli mbiu ikiwa ni, Radio kwa ajili ya amani.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.