Radio
16:30 - 16:59
Maoni mseto ya wazazi nchini Tanzania juu ya changamoto wanazopitia baada ya serikali kupiga marufuku vitabu vinavyokiuka maadili
Wazazi wanaeleza kwamba suala la ukiukaji wa maadili na tamaduni za kitanzania sio mashuleni pekee bali hata kwenye jamii ambapo watoto wanaharibika kwa kuiga tamaduni za kigeni.
19:30 - 19:59
Gavana wa zamani wa jimbo la South Carolina Nikki Haley anatangaza nia yake ya kuwania urais Marekani katika uchaguzi wa mwaka 2024
Hafla ya kuanza kampeni ya Haley inakuja siku moja baada ya kutangaza rasmi kuwania urais akisisitiza katika video za mitandao ya kijamii kwamba "ni wakati wa kizazi kipya cha uongozi."
21:00 - 21:29