Radio
16:30 - 16:59
Afrika Kusini imetangaza 'hali dharuraya' kutokana na upungufu wa huduma za umeme
Rais Cyril Ramaphosa alitangaza kwamba sheria hiyo itaanza kutekelezwa mara moja wakati alipokua anatoa hotuba juu ya hali ya taifa siku ya Alhamisi huku akionya kwamba upungufu wa umeme umelitumbukiza taifa hilo lenye viwanda vingi barani Afrika katika" hali inayo tishia uchumi wetu".
19:30 - 20:29
21:00 - 21:29
Umoja wa Ulaya na Umoja wa Mataifa wameelezea kuunga mkono juhudi zinazofanywa kwa waathirika wa tetemeko la ardhi nchini uturuki na Syria
Takriban watu 22,000 wamethibitishwa kufariki nchini Uturuki na Syria katika moja ya matetemeko mabaya zaidi ya ardhi katika kipindi cha miaka 25 iliyopita. Idadi ya majeruhi inatarajiwa kuongezeka kulingana na maafisa wa ndani pamoja na kimataifa wanaofuatilia tukio hili