Radio
16:30 - 17:00
Jill Biden amewasili nchini Kenya katika mwendelezo wa ziara yake ya Afrika inayolenga kuwawezesha wanawake na vijana na ustawi wa kiuchumi
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
21:00 - 21:29
Kampuni ya umeme Afrika kusini ya ESKOM imemteua mkurugenzi mkuu wa muda wakati kampuni hiyo ikipambana kupunguza kukatika kwa umeme
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.