Radio
16:30 - 16:59
Michael Jordan mchezaji maarufu wa Basketball Marekani anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa Februari 17 mwaka 1963
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
19:30 - 20:29
21:00 - 21:29
Jukwaa la waandishi laangazia habari kuu wiki hii kupitia macho ya waandishi
Katika Jukwaa la Waandishi wiki hii, tunamulika habari kuu zilizopewa kipaumbele wiki hii, zikiwa ni pamoja na siku ya Redio Duniani, hatua ya kupeleka wanajeshi kupambana na ujambazi Kaskazini mwa Kenya na Uganda kutangaza kwamba itatuma wanajeshi DRC kupambana na waasi wa M23.