Radio
19:30 - 20:00
Wachambuzi wa siasa za maziwa makuu wanasema mzozo wa Rwanda na DRC huenda ukachukua sura mpya kutokana na vita vya maneno vinavyoendelea
DRC inailaumu Rwanda kwa kuwaunga mkono waasi wa M23 huku Rwanda ikiilaumu DRC kuwaunga mkono waasi wa FDLR ambalo ni kundi la wapiganaji wa kihutu ambalo Rwanda inalilaumu kuendesha mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 na baadae kukimbilia mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC)
21:00 - 21:29
Hatua ya Uganda kukataa kuongeza muda wa afisi ya UN ya haki za binadamu yaibua hisia mseto
Wanaharakati, wachambuzi, wanasiasa na maafisa wa serikali ya Uganda ni kati ya wale wanaotoa hisia mseto kufuatia hatua ya serikali ya Museveni kutangaza kwamba haitaongeza muda a mamlaka ya afisi ya UN ya haki za binadamu nchini humo.