Radio
16:30 - 17:00
Jill Biden mke wa Rais wa Marekani amewasili Namibia akianza ziara yake ya siku tano barani Afrika ambayo itampeleka hadi nchini Kenya
VOA EXPRESS matangazo yanayofuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. Pia inafuatilia kwa karibu maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi
19:30 - 19:59
Kiongozi wa upinzani Kenya Raila Odinga ameongoza mkutano wa kisiasa akimtaka Rais wa Kenya William Ruto apunguze gharama ya maisha
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.