Wizara ya Ulinzi ya Uingereza yasema huenda Russia imepungukiwa na silaha na wapiga kura nchini Nigeria wamejitokeza kumchagua rais mpya pamoja na viongozi wengine.