Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.
Maombi ya kitaifa yafanyika Kenya kuombea mvua yakiongozwa na Rais William Ruto
Hatua ya Rais wa Kenya, William Ruto, Kupeleka wanajeshi katika maeneo yanayoshuhudia ongezeko la visa vya wizi wa mifugo na mauaji imeibua hisia mseto baina ya wadau