Radio
16:30 - 17:00
Bunge la Uganda linatarajiwa kuanza mchakato wa kuifanyia marekebisho Sheria ya Elimu ya mwaka 2008
Bunge la Uganda linatarajiwa kuanza mchakato wa kuifanyia marekebisho Sheria ya Elimu ya mwaka 2008 miongoni mwa mambo mengine, kuipa waziri wa Elimu mamlaka makubwa ya kudhibiti ada katika taasisi zinazosaidiwa na serikali pamoja na binafsi.
19:30 - 19:59
Wataalamu wa uchumi Tanzania wanaishauri serikali nchini humo kubuni mikakati thabiti ya kudhibiti ongezeko la bei za nafaka
Mhadhiri msaidizi kitivo cha usimamizi wa biashara chuo kikuu huria cha Tanzania Vicent Stanslaus amesema serikali inahitaji kuwekeza katika kilimo cha umwagiliaji ambacho hakitategemea mvua pamoja na kujenga viwanda vya mbolea nchini ili kuwasaidia wakulima kurahisisha kilimo na kupunguza gharama
21:00 - 21:29