Rais Joe Biden ameanza ziara ya majimbo 20 kuzungumzia mipango yake ya maendeleo baada ya kutoa hotuba juu ya Hali ya Taifa Bungeni.