Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Vijana waandamana nje ya bunge la Kenya kupinga kupanda kwa gharama ya maisha.
Rais Putin alihutubia bunge la Russia huku Biden akuhutubia mkutano Poland siku chache tu kabla ya maadhimisho ya mwaka wa kwanza tangu Russia kuanza uvamizi nchini Ukraine.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.