Takriban watu 22,000 wamethibitishwa kufariki nchini Uturuki na Syria katika moja ya matetemeko mabaya zaidi ya ardhi katika kipindi cha miaka 25 iliyopita. Idadi ya majeruhi inatarajiwa kuongezeka kulingana na maafisa wa ndani pamoja na kimataifa wanaofuatilia tukio hili