Radio
19:30 - 19:59
Makamu Rais wa Marekani Kamala Harris amesaini mikataba mbalimbali baina ya Marekani na Tanzania ya uwezeshaji kiuchumi na afya ya jamii
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo
21:00 - 21:29
Nyota wa filamu ya Hotel Rwanda, Paul Rusesabagina awasili Marekani na kujiunga na familia yake, baada ya kuachiliwa kutoka jela ya Rwanda.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.