Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 21:13

Familia moja ya Kenya yajiandaa kuelekea DRC kutokana na hukumu ya kifo inayomkabili mtoto wao

Familia moja ya Kenya yajiandaa kuelekea DRC kutokana na hukumu ya kifo inayomkabili mtoto wao
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Familia moja ya Kenya inajiandaa kuelekea katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kukata rufaa dhidi ya hukumu ya kifo inayomkabili mtoto aliyekutwa na hatia ya kumwua mwanajeshi wa Congo mwaka uliopita.

XS
SM
MD
LG