Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Waandishi waeleza changamoto zao katika siku ya uhuru wa vyombo vya habari na tathmini ya Afrika mashariki na maziwa makuu
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.