Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Fedha zinazotolewa na serikali kugharamia baadhi ya wanafunzi zinaelezwa kutotumika kama ilivyokusudiwa
Livetalk: Majadiliano ya wiki kuhusu iwapo ni wakati mwafaka wa kutunga sheria kali kudhibiti masuala ya kidini
Meza ya waandishi inamulika masuala yaliyogonga vichwa vya habari wiki hii yakiwa ni pamoja na mzozo wa Sudan, ziara ya Rais Paul Kagame Tanzania na Rais Joe Biden kutangaza kuwania urais kwa muhula mwingine.