Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Wanafunzi kutoka Afrika Mashariki wanaosomea Sudan wazungumzia hali wanazokumbana nazo wakati mapigano yakiendelea.
Viongozi wanaozozana Sudan watangaza sitisho la mapigano.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.