Radio
16:30 - 16:59
Hali ya afya ya wanawake na vijana wa Afrika Mashariki huku siku ya Afya Duniani ikiadhimishwa
Siku ya Afya Duniani ni siku ambayo pia Umoja wa Mataifa ulianzishwa manamo mwaka wa 1948. Leo siku hii imeadhimishwa kote. Tunaangazia mafanikio na changamoto kwa wanawake na vijana katika ukanda wa Afrika Mashariki kuhusiana na utoaji wa huduma ya afya.
19:30 - 20:29
Mjadala wa Ijumaa yaani Live Talk wahusu Ijumaa Kuu, na siku ya Afya Duniani
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.